1 Wakorintho 16:19
1 Wakorintho 16:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Makanisa yote ya Asia yanawasalimuni. Akula na Priska pamoja na watu wote wa Mungu walio nyumbani mwao wanawasalimuni sana katika kuungana na Bwana.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 161 Wakorintho 16:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Makanisa ya Asia wawasalimu. Akila na Priska wawasalimu sana katika Bwana, pamoja na kanisa lililoko ndani ya nyumba yao.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 16