1 Mambo ya Nyakati 16:9
1 Mambo ya Nyakati 16:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu!
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 161 Mambo ya Nyakati 16:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwimbieni, mwimbieni nyimbo za kumsifu; Yatangazeni matendo yake yote ya ajabu.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 16