1 Mambo ya Nyakati 16:33
1 Mambo ya Nyakati 16:33 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha, Mbele za BWANA, Kwa maana anakuja aihukumu nchi.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 161 Mambo ya Nyakati 16:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo miti yote msituni itaimba kwa furaha mbele ya Mwenyezi-Mungu anayekuja naam, anayekuja kuihukumu dunia.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 16