Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 6:22-23

Waroma 6:22-23 BHN

Lakini sasa mmekwisha kombolewa kutoka utumwa wa dhambi na mmekuwa watumishi wa Mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu, na matokeo yake ni uhai wa milele. Kwa maana mshahara wa dhambi ni kifo; lakini zawadi anayotoa Mungu ni uhai wa milele katika kuungana na Kristo Yesu, Bwana wetu.

Video for Waroma 6:22-23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waroma 6:22-23