Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 2:3-4

Waroma 2:3-4 BHN

Lakini wewe rafiki unayewahukumu wale wanaofanya mambo kama hayo hali wewe pia unayafanya, je unadhani utaiepa hukumu ya Mungu? Au labda unaudharau wema wake mkuu, uvumilivu wake na saburi yake, bila kutambua kwamba wema wake huo una shabaha ya kukuongoza upate kutubu?

Video for Waroma 2:3-4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waroma 2:3-4