Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 14:17-18

Waroma 14:17-18 BHN

Maana ufalme wa Mungu si shauri la kula na kunywa, bali unahusika na kuwa na uadilifu, amani na furaha iletwayo na Roho Mtakatifu. Anayemtumikia Kristo namna hiyo humpendeza Mungu, na kukubaliwa na watu.

Video for Waroma 14:17-18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waroma 14:17-18