Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 21:27

Ufunuo 21:27 BHN

Lakini hakuna chochote kilicho najisi kitakachoingia humo; wala mtu yeyote atendaye mambo ya kuchukiza au ya uongo hataingia humo. Ni wale tu walioandikwa katika kitabu cha uhai cha Mwanakondoo ndio watakaoingia ndani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 21:27