Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 14:8

Ufunuo 14:8 BHN

Malaika wa pili alimfuata huyo wa kwanza akisema, “Ameanguka! Naam, Babuloni mkuu ameanguka! Babuloni ambaye aliwapa mataifa yote wainywe divai yake – divai kali ya uzinzi wake!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 14:8