Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 1:10-11

Ufunuo 1:10-11 BHN

Basi, wakati mmoja, siku ya Bwana, nilikumbwa na Roho, nikasikia nyuma yangu sauti kubwa kama sauti ya tarumbeta. Nayo ilisema, “Andika katika kitabu yale unayoyaona, ukipeleke kwa makanisa haya saba: Efeso, Smurna, Pergamumu, Thuatira, Sarde, Filadelfia na Laodikea.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 1:10-11