Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 92:1-2

Zaburi 92:1-2 BHN

Ni vema kukushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kuliimbia sifa jina lako, ee Mungu Mkuu. Ni vema kutangaza fadhili zako asubuhi, na uaminifu wako nyakati za usiku

Soma Zaburi 92