Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 92:1-2

Zab 92:1-2 SUV

Ni neno jema kumshukuru BWANA, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu. Kuzitangaza rehema zako asubuhi, Na uaminifu wako wakati wa usiku.