Zaburi 86:11-13
Zaburi 86:11-13 BHN
Unifundishe njia yako, ee Mwenyezi-Mungu, nipate kuwa mwaminifu kwako; uongoze moyo wangu nikuheshimu. Ee Bwana, Mungu wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitatangaza ukuu wa jina lako milele. Fadhili zako kwangu ni nyingi mno! Umeniokoa kutoka chini kuzimu.