Zaburi 6:6-7
Zaburi 6:6-7 BHN
Niko hoi kwa kilio cha uchungu; kila usiku nalowesha kitanda changu kwa machozi; kwa kulia kwangu naulowesha mto wangu. Macho yangu yamechoka kwa huzuni; yamefifia kwa kutaabishwa na adui.