Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 6:6-7

Zab 6:6-7 SUV

Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakieleza kitanda changu; Nalilowesha godoro langu kwa machozi yangu. Jicho langu limeharibika kwa masumbufu, Na kuchakaa kwa sababu yao wanaoniudhi.

Soma Zab 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 6:6-7