Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 32:3-5

Zaburi 32:3-5 BHN

Wakati nilipokuwa sijakiri dhambi yangu, nilikuwa nimedhoofika kwa kulia mchana kutwa. Mchana na usiku mkono wako ulinilemea; nikafyonzwa nguvu zangu, kama maji wakati wa kiangazi. Kisha nilikiri makosa yangu kwako; wala sikuuficha uovu wangu. Nilisema ninakuungamia makosa yangu ee Mwenyezi-Mungu, ndipo nawe ukanisamehe dhambi zangu zote.

Soma Zaburi 32

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 32:3-5