Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 31:14-15

Zaburi 31:14-15 BHN

Lakini mimi nakutumainia wewe, ee Mwenyezi-Mungu. Nasema: “Wewe ni Mungu wangu!” Maisha yangu yamo mikononi mwako; uniokoe na maadui zangu, niokoe na hao wanaonidhulumu.

Soma Zaburi 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 31:14-15