Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 30:11-12

Zaburi 30:11-12 BHN

Wewe umegeuza maombolezo langu kuwa ngoma ya furaha; umeniondolea huzuni yangu, ukanizungushia furaha. Mimi nitakusifu wala sitakaa kimya. Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu nitakushukuru milele.

Soma Zaburi 30

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 30:11-12