Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 20:7-8

Zaburi 20:7-8 BHN

Wengine hujigamba kwa magari ya vita; wengine hujigamba kwa farasi wao. Lakini sisi twajivunia Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu. Hao watajikwaa na kuanguka; lakini sisi tutainuka na kusimama imara.

Soma Zaburi 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 20:7-8