Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 22:17-20

Methali 22:17-20 BHN

Tega sikio usikie maneno ya wenye hekima, elekeza moyo wako uzingatie maarifa yangu. Wewe utafurahi endapo utayaweka moyoni, na kuyakariri kila wakati. Ninayependa kumfundisha leo ni wewe, ili tegemeo lako liwe kwa Mwenyezi-Mungu. Nimekuandikia misemo thelathini, misemo ya maonyo na maarifa

Soma Methali 22