Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 22:17-20

Mithali 22:17-20 NEN

Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo, kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako na kuwa nayo yote tayari midomoni mwako. Ili tumaini lako liwe katika BWANA, hata wewe, ninakufundisha leo. Je, sijakuandikia misemo thelathini, misemo ya mashauri na maarifa