Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 2:7-8

Methali 2:7-8 BHN

Huwawekea wanyofu akiba ya hekima safi, yeye ni ngao kwa watu waishio kwa uaminifu. Huilinda mienendo ya watu watendao haki, na kuzihifadhi njia za waaminifu wake.

Soma Methali 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 2:7-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha