Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 14:20-24

Hesabu 14:20-24 BHN

Mwenyezi-Mungu akajibu, “Nimewasamehe kama ulivyoomba. Lakini kwa kweli, kama niishivyo na kadiri dunia itakavyojaa utukufu wangu, hakuna hata mmoja wao ambaye amewahi kuuona utukufu wangu na miujiza yangu niliyoifanya Misri na jangwani kisha akazidi kunijaribu mara hizi zote bila ya kutii sauti yangu, ataiona nchi ile niliyoapa kuwapatia babu zao; kadhalika hata wale wanaonidharau pia hawataiona. Bali kwa sababu mtumishi wangu Kalebu ni tofauti, na amenitii kikamilifu, nitamfikisha kwenye nchi hiyo aliyoingia na wazawa wake wataimiliki.

Soma Hesabu 14