Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 13:1-2

Marko 13:1-2 BHN

Yesu alipokuwa anatoka hekaluni mmoja wa wanafunzi wake alimwambia, “Mwalimu, tazama jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo ya ajabu!” Yesu akamwambia, “Je, unayaona majengo haya makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalosalia juu ya lingine; kila kitu kitabomolewa.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 13:1-2