Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 12:33

Marko 12:33 BHN

Na ni lazima mtu kumpenda Mungu kwa moyo wote, kwa akili yote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani yake kama anavyojipenda mwenyewe. Jambo hili ni muhimu zaidi kuliko tambiko na sadaka zote za kuteketezwa.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 12:33