Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 1:32-34

Marko 1:32-34 BHN

Jioni, jua lilipokwisha tua, wakamletea Yesu wagonjwa wote na watu waliopagawa na pepo. Watu wote wa mji ule wakakusanyika nje ya mlango. Naye Yesu akawaponya watu wengi waliokuwa na magonjwa mbalimbali; aliwafukuza pepo wengi, lakini hakuwaruhusu kusema kitu maana walikuwa wanamjua yeye ni nani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 1:32-34