Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mika 7:7-8

Mika 7:7-8 BHN

Lakini mimi namtumainia Mwenyezi-Mungu, namtazamia Mungu mwenye kuniokoa; Mungu wangu atanisikiliza. Usifurahie maafa yangu ewe adui yangu! Nikianguka, nitainuka tena; Nikiwa gizani, Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu.

Soma Mika 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mika 7:7-8