Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mik 7:7-8

Mik 7:7-8 SUV

Lakini mimi, nitamtazamia BWANA; nitamngojea Mungu wa wokovu wangu; Mungu wangu atanisikia. Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, BWANA atakuwa nuru kwangu.

Soma Mik 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mik 7:7-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha