Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 3:11

Mathayo 3:11 BHN

Mimi ninawabatizeni kwa maji kuonesha mmetubu. Lakini anayekuja baada yangu ana nguvu kuliko mimi, nami sistahili hata kubeba viatu vyake. Yeye atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 3:11