Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 18:12

Mathayo 18:12 BHN

Mnaonaje? Mtu akiwa na kondoo 100, akimpoteza mmoja, hufanyaje? Huwaacha wale tisini na tisa mlimani, akaenda kumtafuta yule aliyepotea.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 18:12