Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 17:17-18

Mathayo 17:17-18 BHN

Yesu akajibu, “Enyi kizazi kisicho na imani, kilichopotoka! Nitakaa nanyi mpaka lini? Nitawavumilia nyinyi mpaka lini? Mleteni hapa huyo mtoto.” Basi, Yesu akamkemea huyo pepo, naye akamtoka, na yule mtoto akapona wakati huohuo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 17:17-18