Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 16:18-19

Mathayo 16:18-19 BHN

Nami nakuambia: Wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala nguvu za kifo hazitaweza kulishinda. Nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni; kila utakachofunga duniani, kitafungwa pia mbinguni; kila utakachofungua duniani, kitafunguliwa pia mbinguni.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 16:18-19