Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 16:18-19

Mt 16:18-19 SUV

Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

Soma Mt 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 16:18-19