Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 14:30-31

Mathayo 14:30-31 BHN

Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, “Bwana, niokoe!” Hapo, Yesu akaunyosha mkono wake, akamshika na kumwambia, “Ewe mwenye imani haba! Kwa nini uliona shaka?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 14:30-31