Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 14:30-31

Mathayo 14:30-31 NEN

Lakini alipoona upepo mkali aliingiwa na hofu, naye akaanza kuzama, huku akipiga kelele, “Bwana, niokoe!” Mara Yesu akaunyoosha mkono wake na kumshika, akamwambia, “Wewe mwenye imani haba, kwa nini uliona shaka?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 14:30-31