Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 12:30-32

Mathayo 12:30-32 BHN

“Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya. Kwa sababu hiyo, nawaambieni, watu watasamehewa dhambi na kufuru zao zote, lakini hawatasamehewa dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu. Tena, asemaye neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa, lakini yule asemaye neno la kumpinga Roho Mtakatifu, hatasamehewa, wala katika ulimwengu huu, wala katika ulimwengu ujao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 12:30-32