Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 11:4-5

Mathayo 11:4-5 BHN

Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona: Vipofu wanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa Habari Njema.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 11:4-5