Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 11:27

Mathayo 11:27 BHN

“Baba yangu amenikabidhi vitu vyote. Hakuna amjuaye Mwana ila Baba, wala amjuaye Baba ila Mwana, na yeyote yule ambaye Mwana anapenda kumfunulia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 11:27