Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 10:29-31

Mathayo 10:29-31 BHN

Shomoro wawili huuzwa kwa sarafu moja ndogo. Lakini hata mmoja wao haanguki chini bila kibali cha Baba yenu. Lakini kwa upande wenu, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 10:29-31