Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 1:21-23

Mathayo 1:21-23 BHN

Atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu, kwa kuwa yeye ndiye atakayewaokoa watu wake katika dhambi zao.” Basi, haya yote yalitukia ili litimie lile neno Bwana alilosema kwa njia ya nabii: “Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, nao watampa jina Emanueli” (maana yake, “Mungu yuko nasi”).

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 1:21-23