Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 3:10

Malaki 3:10 BHN

Leteni ghalani mwangu zaka yote, ili nyumbani mwangu kuwe na chakula cha kutosha. Kisha mwaweza kunijaribu. Nijaribuni namna hiyo nanyi mtaona kama sitayafungua madirisha ya mbinguni na kuwatiririshia baraka tele.

Soma Malaki 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Malaki 3:10