Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 1:11-12

Malaki 1:11-12 BHN

Watu wa mataifa kote duniani, toka mawio ya jua hadi machweo yake, wanalitukuza jina langu. Kila mahali wananifukizia ubani na kunitolea tambiko zinazokubalika; maana jina langu linatukuzwa miongoni mwao. Lakini nyinyi mnalibeza jina langu pale mnapoichafua madhabahu yangu, na chakula mnachotoa juu yake mnakidharau.

Soma Malaki 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Malaki 1:11-12