Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mal 1:11-12

Mal 1:11-12 SUV

Kwa maana tokea maawio ya jua hata machweo yake jina langu ni kuu katika Mataifa; na katika kila mahali unatolewa uvumba na dhabihu safi kwa jina langu; maana jina langu ni kuu katika Mataifa, asema BWANA wa majeshi. Lakini ninyi mnalitia unajisi, kwa kuwa mwasema, Meza ya BWANA imetiwa unajisi; na matunda yake, yaani, nyama yake, hudharauliwa.

Soma Mal 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mal 1:11-12