Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 16:32-33

Walawi 16:32-33 BHN

Kuhani aliyepakwa mafuta na kuwekwa wakfu ashike nafasi ya baba yake, ndiye atakayefanya ibada ya upatanisho akiwa amevaa mavazi matakatifu ya kitani. Atafanya ibada ya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu sana, kwa ajili ya hema la mkutano, madhabahu, makuhani na kwa ajili ya jumuiya nzima ya Israeli.

Soma Walawi 16

Video for Walawi 16:32-33