Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maombolezo 3:22-25

Maombolezo 3:22-25 BHN

Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho. Kila kunapokucha ni mpya kabisa, uaminifu wake ni mkuu mno. Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu hivyo nitamwekea tumaini langu. Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wanaomtegemea, ni mwema kwa wote wanaomtafuta.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Maombolezo 3:22-25