Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maombolezo 3:20-23

Maombolezo 3:20-23 BHN

Nayafikiria hayo daima, nayo roho yangu imejaa majonzi. Lakini nakumbuka jambo hili moja, nami ninalo tumaini: Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho. Kila kunapokucha ni mpya kabisa, uaminifu wake ni mkuu mno.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Maombolezo 3:20-23