Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 1:6-7

Yoshua 1:6-7 BHN

Uwe imara na hodari kwa kuwa wewe utawaongoza watu hawa kuirithi nchi ambayo niliwaahidi wazee wao kuwa nitawapa. Ila tu, uwe imara na hodari; uwe mwangalifu na kuzingatia sheria yote aliyokuamuru mtumishi wangu Mose. Fuata kila sehemu ya sheria hiyo nawe utafanikiwa popote uendapo.

Soma Yoshua 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoshua 1:6-7