Yobu 5:17-18
Yobu 5:17-18 BHN
“Heri mtu yule ambaye Mungu anamrudi! Hivyo usidharau Mungu Mwenye Nguvu anapokuadhibu. Kwani yeye huumiza na pia huuguza; hujeruhi, na kwa mkono wake huponya.