Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 20:4-5

Yobu 20:4-5 BHN

“Wewe labda umesahau jambo hili: Kwamba tangu zamani Mungu alipomuumba mtu duniani, mwovu atajiona ameshinda kwa muda tu, furaha yake asiyemcha Mungu ni ya muda mfupi tu!

Soma Yobu 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 20:4-5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha