Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 17:11-12

Yobu 17:11-12 BHN

“Siku zangu zimekwisha, mipango yangu imevunjwa; matazamio ya moyo wangu yametoweka. Kwa hao rafiki zangu usiku ni mchana; je, ndio kusema mna mwanga gizani humu?

Soma Yobu 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 17:11-12