Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 15:6-8

Yobu 15:6-8 BHN

Maneno yako mwenyewe yanakuhukumu, sio mimi; matamshi yako yashuhudia dhidi yako. Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? Je, wewe ulizaliwa kabla ya kuweko vilima? Je, ulipata kuweko katika halmashauri ya Mungu? au, wewe ndiwe peke yako mwenye hekima?

Soma Yobu 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 15:6-8